KUNA MIILI YA AINA TANO
Ndani
ya mwili wetu ipo miili mingine ambayo hufanya kazi kulingana na hali Fulani ya
mwili kiujumla miili hii hufanya kazi wakati wa USIKU,hapa nitaelezea kazi za
Kila mwili na namna ya kuutambua lakini elewa wenye uweza wa kuutambua ni mwili
upi unaotumika huwa Wana ujuzi mkubwa lakini pia wengi hupractise kitu
kinachoitwa Astral projection kwa wale wasiojua maana ya astral projection ni
kitendo Cha mtu kutoka nje ya mwili wake wakati akiwa amelala na kuutumia
katika ulimwengu wa astral, miili hii nitaweza kuilezea Kama ifuatavyo kutokana
na experience yangu katika kuitumia
1.physical body
Physical
body huu ndio mwili wako halisi au tunaufananisha na hardcopy ni mwili
unaooneka na unaweza kushika vitu n.k, mwili huu hutumia milango ya fahamu
katika kufanya shughuli zake za kawaida.
2.Dream body/mwili wa
ndoto
Mwili
huu hauko mbali sana na physical body Mara tu mtu anapoaza kusizia mwili huu
huwa tayari kuanza kufanya kazi,japo wakati mwingine si kwamba mtu huwa
anatumia mwili huu Bali huwa ni Maono yanayotokana na mawazo yake(hilucination)
mwili wa ndoto tunauita kwa jina la soft copy Kila kitu Cha mwili huu hufanana
na mwili wa kawaida na Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha wanapokuwa
wanatumia mwili mf mtu anaweza akawa na uhakika kwamba anakojoa chooni kumbe
lo! yupo kitandani,mtu anaweza akahisi anakimbia kumbe lo!amelala kitandani.
Unapokuwa unatumia mwili huu Kila kitu huweza kufanana na mwili halisi
3.Energy body
Mwili
huu huwa una kazi ya kusambaza energy katika miili mingine unapokuwa kwenye
mwili huu hutaweza kujiona mwenyewe hata ukijiangalia kwenye kioo hautaweza
kujiona
Mwili
huu huwa hautumiki katika Mambo ya ndoto na mtu atakapoamka kwenye mwili huu
hatoweza kukaa sana aidha ataamka au atahamia mwili mwingine
4.etheric body
Huu
ni mwili ambao una shape Kama mwili wa kawaida lakini at the same time unaweza
kubadilika na kuwa Kama Moshi au upepo hivyo kuutumia mwili huu sio rahisi Mara
nyingi watu ambao huongozwa na roho zingine huweza kutumia mwili huu lakini pia
zipo incident ambazo humfanya mtu kujikuta anatumia mwili huu
5.Astral body
Huu
ndio mwili wenye uwezo mkubwa kuliko yote na ndio upo ndani kabisa baada ya
kuipita miili mingine. mwili huu waweza kuchukua shape yeyote hata Kama ni ya
mnyama,mwili huu waweza kupita popote hata Kama ni kwenye ukuta,unaweza
kusafiri popote kwa mda mfupi hata Kama ni sayari nyingine,mwili huweza kwende
kwenye matukio yaliyopita(past), yajayo(future) n.k mwili huu huitaji mtu awe
na nguvu kiroho,
Mwili
huu ni mgumu zaidi kuufikia Mara nyingi wanaofanya shughuli za kiroho huweza
kuutumia huu kwa msaada wa madawa au maombi yanayo husisha roho zingine.
