Karibu
sana kwenye tovuti yetu!
https://worldfactissue.blogspot.com/
Hivi ni vigezo na masharti ya kutumia website
yetu ambayo yanapatika katika tovuti https://worldfactissie.blogspot.com/
Tunaamini kwamba kwa kutembelea tovuti hii
umekubaliana na vigezo na masharti yaliyewekwa na kama haukubaliana nayo
tafadhali usitumie tovuti hii.
Vigezo na mashari, faragha, kanusho na makubaliano yote yanayomilikiwa na
maneno “mteja” “wewe” au chakwako
inamaanisha mtu yeyote atakaengia katika tovuti hii kwa kufuata vigezo na
masharti ya tovuti, kampuni yetu inajulikana kama “kampuni” “sisi” “vyakwetu”
wote mteja pamoja na sisi tunafahamika kama “washiriki” makubaliano yeyote
yatakayofikiwa na kampuni pamoja na mteja yatahusiana na huduma zinahusu
kampuni,matumizi yeyote ya lugha ikiwemo umoja, wingi, herufi kubwa,
yeye,nyinyi au wao yatajumuishwa kuwa na maana moja.
Vidakuzi
Vidakuzi vinatumika katika tovuti, unapaswa
ukubaliana na vidakuzi sawasawa na
Worldfactissuez kanuni za faragha kwa
kutembelea worldfactissuez
Vidakuzi hutumiwa na tovuti kutusaidia kupata
taarifa kwa kila mtu anaetembelea tovuti,vidakuzi vinatumika katika tovuti yetu
ili kurahisisha utumiaji wa tovuji, baadhi ya matangazo au biashara za
washiriki wetu pia zinaweza kutumia vidakuzi
Leseni
Pasipo na mpinzani kila,
maarifa,mafundisho,ujumbe ni mali ya
worldfactissues na kila taarifa imehifadhiwa, unaweza ukazitumia taarifa
zilizoko kwenye tovuti kwa matumizi yako
binafsi kwa kufuata vigezo na masharti yafuatayo.
Usifanye yafuatayo
· Usipost taarifa hizi kama zilivyo sehemu yeyote bila
kuongezea taarifa zakwako.
· Usiuze,usikodishe,wala usitengezee leseni nyenzo kutoka
worldfactissue
· Usizalishe,usitoe nakala kutoka worldfactissue
· Usisambaze upya maudhui ya worldfactissue