Jinsi ya kuacha kuangalia pornography na kujichua

JE INAWEZEKANA KUACHA KABISA KUANGALIA PICHA ZA NGONO NA KUJICHUA?

Je inawezekana kuacha kuangalia pornography na kujichua (kupiga punyeto)? Ndiyo inawezekana  KABISA  lakini lazima ujitoe maana hizo addiction husababisha ubongo pamoja na mwili kuwa watumwa wa hizo tabia

Watu wengi hujaribu kupambana na miili yao lakini inakuwa ni vigumu kuweza kuishinda lakini pia wapo vijana wakike kwa wakiume wanaopenda kuwa watakatifu lakini tabia hii imewafanya wapoteze ujasiri na washindwe kumtumikia Mungu kwa kujiamini hivyo nataka nitoe hatua za kufuata kwa wale ambao wapo tayari kuacha tabia hii

ACHA KUTUMIA PRODUCT ZA VIWANDAJI ZINAKUJA KAMA CHAKULA

Product za viwandani ni kitu hatari mno Ila watu hawajui ACHA kutumia vinywani vyote Kama Pepsi, Coca-Cola,sayona, energy na vinywani vingine vinywani hivi ama product hizi husababisha chemical reaction Kali sana kutokea katika mwili Jambo ambalo hupelekea baadhi ya hormone kuachiwa kwenye damu na wakati hazihitajiki kwa muda huo,hivyo hizo hormone au hizo chemical reactions husababisha mwili na ubongo kuriact na matokeo yake mihemko ya mwili huwa ni mikubwa sana hii ikiwemo mtu kuwa na hasira sana,kukosa Raha,mwili kuwaka tamaa bila sababu za msingi

PUNGUZA KUNYWA CHAI AU KAHAWA

hili linaweza likakushangaza lakini Chai huwa si kitu Cha kawaida kwa sababu ndani ya majani ya chai Kuna nicotine na caffeine ambayo huamsha au kustimulate mwili,ubongo hushtuka na damu huenda mbio hii husababisha mwili kuchachamaa kumbuka nicotine na caffeine ni Aina ya madawa ambayo ni hatari lakini wenye viwanda wamekushawishi kwamba viko salama Wala hakuna usalama, Asubuhi tafuta juice,maziwa ambayo hayajatiwa majani ya chai au chemsha maji ya Moto unywe pia epuka au tumia sukari ama chumvi kidogo sana kwenye vitu ama vinywaji unavyotumia kwa mfano badala ya kununua juice ya matunda iliyotiwa sukari nunua matunda uyale kukwepa Ile sukari ya kiwandani

WEKA RATIBA YA KUFUNGA NA KUOMBA KWA WIKI SIKU MBILI KISHA HUDHURIA IBADA ZA KATIKATI YA WIKI HATA KAMA NI MARA MOJA KWA WIKI 

Unapojiwekea utaratibu huu wa kufunga na kuomba unaimarika kiroho lakini pia unajitengenezea displine kwenye maisha yako pia hiyo itakutengenezea uvumilivu na kujifunza kumtumainia Mungu na kumuomba katika zile changamoto unazopitia pia mfungo huuweka mwili katika displine hivyo itakusaidia kuweza kukontrol mwili pamoja na akili yako

HAKIKISHA UNAJIONDOA KWENYE MITANDAO YOTE INAYOONYESHA WATU WAKIWA NUSU UCHI, AU KUONYESHA MAKALIO YA WADADA

Jiondeo kwenye mitandao ambayo inatrigger akili yako na kukuchochea au kukushawishi uangalie au kuwaza NGONO Kama mitandao Fulani haukuingizii pesa yoyote basi hauna haja hata ya kuwa member wa mitandao huyo

PUNGUZA MATUMIZI YA VIFAA VINAVYOSABABISHA UTAZAME VITU VISIVYO FAA

Upuka kutumia sana computers, smartphones, kuangalia TV au movies maana vitu hivyo huleta ushawishi mkubwa katika kuangalia picha zisizofaa wakati mwingine unalazimika kuviweka mbali na wewe kwa muda

PENDA KUOMBA NA USOME NENO LA MUNGU

USIKU ni muda nzuri wa kuomba pamoja na kutafakari Yale ya Mungu hivyo hukupa nguvu za kiroho la sivyo shetani atakupandikizia magugu wakati umelala na umejisahau kabisa

 


Post a Comment

Previous Post Next Post